HTML Tables
Burudani

YETU GOSPEL: REHOBOAM KINDALA KUZINDUA ALBAMU YAKE YA VIDEO

Msanii wa muziki wa Injili Rehoboam Kindala Baada ya kufanya Vyema Kwenye Albamu yake ya Nyimbo Ya Unitendee sasa amekamilisha Taratibu zote za kuzindua mkanda wake wa video

Akizungumza na kipindi cha Yetu Gospel kutoka Yetu Radio Rehoboam amesema kila kitu kiko Sawa Na Zoezi hilo Litafanyika kwenye Ukumbi wa kanisa la Fpct Kunduchi Kuanzia Saa 8 Mchana Tarehe 8/10/2017

Ametaja Wasanii watakaosindikiza uzinduzi Huo Ni Pamoja na Wasanii maarufu wa mziki Huo kama Christopher Mhangira, Victor Aron Na wengine Wengi

Kwa Upande mwingine ameongeza kuwa Tamasha hilo halina kiingilio na kila mtu anakaribishwa kuhudhuria.

1 Comment

1 Comment

  1. Pingback: tamoxifen

You must be logged in to post a comment Login

Leave a Reply

To Top