HTML Tables
Michezo

YANGA SC YAPIGA KAMBI MORO, NI MCHAKAMCHAKA KUSUBIRI MTANANGE KOMBE LA SHIRIKISHO

Kikosi cha Yanga kinaanza mazoezi mjini Morogoro leo baada ya kusafiri jana kwenda kuweka kambi ya muda mfupi.

Yanga imeweka kambi mjini humo ikiandaa na mchezo wa Kombe la Shirikisho dhidi ya Singida United utakaopigwa Aprili Mosi 2018.

Mchezo huo utapigwa ikiwa siku ni siku ya Pasaka katika Uwanja wa Namfua mjini Singida.

Kikosi hicho kiliondoka na orodha yenye wachezaji 20 na jumla ya viongozi wa timu wanne.

Click to comment

You must be logged in to post a comment Login

Leave a Reply

To Top