HTML Tables
Michezo

YANGA SC WAKO BOTSWANA KWA LENGO MOJA TU

Picha zinazoonesha matukio baada ya Yanga kutua mjini Gaborone, Botswana, mchaba wa leo.

Kikosi hicho kitacheza dhidi ya Township Rollers FC, Jumamosi ya wiki hii, mchezo wa marudiano katika Ligi ya Mabingwa Afrika.

Click to comment

You must be logged in to post a comment Login

Leave a Reply

To Top