HTML Tables
Burudani

WEMA SEPETU AGUSWA NA KIFO CHA IVAN

Muigizaji wa Filamu nchini Tanzania, Wema Sepetu ameshindwa kujizuia kwa kuonesha uchungu alioupata baada ya kusikia taarifa za msiba wa aliyekuwa mwanaume wa Zari ‘Ivan Semwanga’ na kumfariji mzazi mwenzake na marehemu Zari The Boss Lady.

Wema Sepetu amesema ameumizwa na taarifa hizo huku akiwaonea huruma watoto wake ambao amewaacha wakiwa wadogo na kumfariji mama yao.

“Broken hearted Rest In Peace Ivan SHOCKING NEWS kwakweli… My Condolences to The whole Family… Mungu awatie nguvu wale watoto jamani… They are too young… And Mungu amtie nguvu Mama watoto wako… It will be a very hard period of time for all of you But it shall pass”,ameandika Wema Sepetu kwenye ukurasa wake wa Twitter.

Marehemu ‘Ivan Semwanga’ amefariki jana usiku kwa maradhi ya Shambulio la Moyo na ameacha watoto watatu wote amezaa na mrembo Zari ambaye kwa sasa yupo kwenye mahusiano na Msanii wa Bongo Fleva Diamond Patnumz

4 Comments

4 Comments

 1. Ibrahim Chiduo

  Ibrahim Chiduo

  May 25, 2017 at 3:06 pm

  Hili ni jambo linalo mgusa kila mtu hata yeye ni binadam

 2. Ally Mrangi Gigiri

  Ally Mrangi Gigiri

  May 25, 2017 at 3:20 pm

  Mwenyeji wa masange kondoa kwa sasa nipo shop salon magomen unity kagera dsm tz kama kawaida nimetune kitambo sana binafsi sina neno twende sawa na sijali shomari mama zekka mama double s basila binti kimario Hussein machui matikiti mohammed

 3. Btitce Daud Masanja

  Btitce Daud Masanja

  May 25, 2017 at 8:06 pm

  Mmmhh!!!!

 4. Edivesta Mrina

  Edivesta Mrina

  May 26, 2017 at 8:07 am

  Pole

You must be logged in to post a comment Login

Leave a Reply

To Top