HTML Tables
Habari

WAKUU WA NCHI G7 KUKUTANA LEO, KENYA YAALIKWA

Mataifa yenyewe nguvu Duniani G7 yanakutana leo tarehe 26 May 2017 Taormina Sicily Italia kujadili masuala mbali mbali ya uchumi, jamii na maendeleo.

Kikao hicho hakihusishi mataifa mawili yenye nguvu ya uchumi Mkubwa Duniani ambayo ni Urusi na China.

Mataifa husika ni pamoja na Marekani,Ufaransa, Canada,Ujerumani,Italia, Japan na Uingereza.

Mataifa alikwa mwaka huu ni Kenya ambayo itawakilishwa na Rais wa Nchi hiyo Uhuru Kenyatta, Ethiopia, Nigeria na Tunisia kutoka bara la Afrika.

 

2 Comments

2 Comments

  1. Pingback: Maria Smith

  2. Pingback: Melanie Bowen

You must be logged in to post a comment Login

Leave a Reply

To Top