HTML Tables
Michezo

VIDEO: Mbwana Samatta Azidi Kutupia Genk

 

Nahodha wa timu ya taifa ya Tanzania  Taifa Stars Mbwana Ali Samatta wikendi hii aliisaidia timu yake ya K.R.C Genk kuibuka na ushindi wa  mabao 2-1 dhidi

KAS Eupen katika ligi kuu inchini Ubeligiji.

Mbwana Samatta sasa anafikisha mabao 10 na kushika nafasi ya 11 katika orodha ya wafungaji katika ligi hiyo

Click to comment

You must be logged in to post a comment Login

Leave a Reply

To Top