HTML Tables
Michezo

UMESIKIA HII YA YANGA SC KUSHINDWA KUFANYA MAZOEZI LEO

Kikosi cha Yanga, kimeshindwa kufanya mazoezi leo kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.
Pamoja na wachezaji kujitokeza mazoezini, lakini walikusanyika pamoja na kufanya mazungumzo na baada ya hapo kila mtu akachukua hamsini zake.
Kwa waliokuwa mazoezini, hakuna aliyetaka kulizungumzia suala hilo, kwamba kwa nini hawakufanya mazoezi.

Badala yake, wachezaji walionekana ni wakali hata kupigwa picha tu.

5 Comments

5 Comments

 1. Senior MJ Tandike

  Senior MJ Tandike

  September 19, 2017 at 5:02 pm

  Kwa hali tusipoangalia…simba ubingwa mapema..

 2. Edwin Mapuli

  Edwin Mapuli

  September 19, 2017 at 6:47 pm

  Vp tena njaa inasumbua

 3. Stella Chalamila

  Stella Chalamila

  September 19, 2017 at 9:06 pm

  Haswa

 4. Pingback: Maria Smith

 5. Pingback: Melanie Bowen

You must be logged in to post a comment Login

Leave a Reply

To Top