HTML Tables
Habari

UCHAGUZI MKUU KENYA 2017: NASA WATISHIA KUJITOA

Viongozi wa muungano wa vyama vya upinzani Kenya NASA.

Muungano wa vyama vya upinzani Kenya NASA umetishia kususia uchaguzi mkuu mwaka huu endapo sheria inayoruhusu matokeo ya urais kutangazwa na wasimamizi wa uchaguzi katika vituo vya uchaguzi  itabadilishwa.

Na wakati huo huko tume ya IEBC ikisema sharti ibainishe matokeo hayo kabla ya kutangazwa, uongozi wa NASA unadai ni njama ya kufanikisha wizi wa kura. Haya yanajiri huku vigogo watano wa NASA wakikutana huko Pwani kujadili mikakati ya kampeni na ili kushinda uchaguzi wa mwaka huu.

Click to comment

You must be logged in to post a comment Login

Leave a Reply

To Top