HTML Tables
Habari

TRUMP, MNANIANDAMA SANA

HENDERSON, NV – OCTOBER 05: Republican presidential nominee Donald Trump speaks during a campaign rally at the Henderson Pavilion on October 5, 2016 in Henderson, Nevada. Trump is campaigning ahead of the second presidential debate coming up on October 9 with Democratic presidential nominee Hillary Clinton. (Photo by Ethan Miller/Getty Images)

Ikiwa ni siku chache Tangu Rais wa Marekani Donald Trump kumfukuza aliyekuwa mkurugenzi mtendaji wa shirika la upelelezi la nchi hiyo FBI bwana James Comey nchi hiyo imekuja juu hivi karibuni baada ya kuonekana Comey alitimuliwa si kwa utendaji mbovu bali ilikuwa ni maamuzi binafsi ya Trump.

Comey alitowa ripoti hivi karibuni ya kusema kuwa Trump alimfukuza baada ya kukataa kusitisha uchunguzi wa aliyekuwa generali wa nchi hiyo Michael T Flynn hivyo ilikuwa ni maamuzi yasiyo ya serikali bali binafsi

Hata hivyo hotuba aliyoitoa Trump siku ya jana may 18 ilisema hakuwahi kusema hivo na yote yanayoendelea ni mchezo wa kutafuta mchawi” Tuache kutafuta mchawi suala hili linaigawa nchi, mimi sikuwahi kumwambia Comey aache upelelezi wa Flynn”

4 Comments

4 Comments

 1. Haji Rajabu

  Haji Rajabu

  May 19, 2017 at 1:28 pm

  Trumph ni pandikizi la Urusi ndani ya USA utang’oka tu muulize Nixson yaliyomkuta kwanza wewe si mwana siasa kilichokutuma kujiingiza huko ni nini PUMBAVU kabisa

 2. Herry Lazaro

  Herry Lazaro

  May 19, 2017 at 1:57 pm

  Kimbia sasa

 3. Pingback: Maria Smith

 4. Pingback: new siriustube572 abdu23na6748 abdu23na18

You must be logged in to post a comment Login

Leave a Reply

To Top