HTML Tables
Michezo

SIMBA SC YATINGA FAINALI MICHUANO YA KOMBE LA FA

Wekundu wa Msimbazi Simba sc  wamefanikiwa kutinga hatua ya Fainali Ya michuano ya Kombe la FA baada ya kuibuka na ushindi wa bao moja kwa Nunge dhidi Azam Fc Bao lililofungwa na kiungo wa Timu Hiyo Mohammed Ibrahim.

Mohammed Ibrahimu, Simba sc

Katika mchezo Huo Ambao Ulikuwa na ushindani wa Aina yake kwa Timu zote mbili ulishuhudia Wachezaji wawili wakipigwa kadi Nyekundu ambapo katika Kipindi cha kwanza  Abubakar Salum wa Azam fc alipata kadi ya pili  ya njano na kutoka nje Huku kipindi cha Pili mfungaji wa bao la Simba sc Mohammed Ibrahim alionyeshwa  kadi Nyekundu pia

Kwa Matokea Hayo Simba sc Anasubiri mshindi wa Mchezo kati ya Yanga sc Dhidi Mbao Fc ILi waungane kwenye Fainali ya michuono ya kombe Hilo La  FA

Click to comment

You must be logged in to post a comment Login

Leave a Reply

To Top