HTML Tables
Michezo

SIMBA SC NAO WAENDELEA KUJIWEKA SAWA KUUWINDA UBINGWA LIGI KUU

Kikosi cha Simba kimeendelea na mazoezi leo asubuhi katika Uwanja wa Boko Veterani uliopo pembezoni kidogo mwa jiji la Dar es Salaam.

Simba imejifua leo bila ya kiungo wake, Jonas Mkude, aliyeumia jana baada wakati akiwania mpira na Mzamiru Yassin.

Kikosi hicho kitakuwa na kibarua dhidi ya Njombe Mji FC tarehe 3 Aprili 2018 katika mchezo wa Ligi Kuu Vodacom.

Click to comment

You must be logged in to post a comment Login

Leave a Reply

To Top