HTML Tables
Burudani

ROMA: SIWEZI KUIMBA KILA SIKU SIASA

Na Thomas Samson

Staa wa muziki wa hip hop  Tanzania Ibrahim Mussa “Roma mkatoliki” amehamia kwenye aina ya  muziki wa Hip hop ambayo haitohusisha siasa  kama wafanyavyo wasanii wengi wa bongo fleva.

Roma ameanza muziki huo ikiwa ni wiki chache tu tangu kutekwa na watu wasiojulikana.

Msanii huyo aliachia kibao kilichowashangaza mashabiki wake waliozoea kusikiliza mashairi ya siasa na harakati.

“kamwe sijawahi kuwa na nidhamu ya uoga katika  maisha yangu ya muziki kinachotokea hivi sasa ni mabadiliko tu ya mziki wangu”alisema roma.

Amesema Hawezi kuimba Siasa kila siku kwa Sababu kwa kufanya Hivyo Hatoweza kujitangaza kwenye Soko la muziki Kimataifa

1 Comment

1 Comment

  1. Fred Samson

    Fred Samson

    May 2, 2017 at 9:51 pm

    Kwa ninii?

You must be logged in to post a comment Login

Leave a Reply

To Top