HTML Tables
Habari

RAIS MAGUFULI AWATUNUKU KAMISHENI MAAFISA 422 WA JESHI JWTZ

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, leo jumaosi  amewatunuku kamisheni maafisa wa Jeshi 422 ambao wamehitimu mafunzo mbali mbali kwenye chuo cha Jeshi Monduli mkoani Arusha.

Tukio hilo ambalo limefanyika katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid Arusha Mjni, limehudhuriwa na viongozi mbali mbali wa kitaifa na mafisa wa Jeshi nchini pamoja na wananchi mbali mbali wa mkoa wa Arusha.

Kabla ya kuwatunuku kamisheni maafisa hao wa jeshi, Rais Magufuli alikagua gwaride maalum, na kutoa zawadi kwa maafisa wa jeshi watano waliofanya vizuri zaidi kwenye masomo yao.

Tukio hilo la Rais Magufuli kuwapa Kamisheni Maafisa wa Jeshi katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid ni la kwanza kufanyika katika uwanja wa wazi badala ya viwanja vya jeshi wilayani Monduli.

 

114 Comments

114 Comments

 1. Pingback: ++++++

 2. Pingback: HD-720

 3. Pingback: guardians+of+the+galaxy+2

 4. Pingback: strong woman do bong soon

 5. Pingback: my id is gangnam beauty

 6. Pingback: 2020

 7. Pingback: kpop+star+season+6+ep+9

 8. Pingback: Video

 9. Pingback: 1 2 3 4 5 6 7 8 9 10

 10. Pingback: wwin-tv.com

 11. Pingback: Watch TV Shows

 12. Pingback: buy cialis

 13. Pingback: cialis pills

 14. Pingback: viagra pills

You must be logged in to post a comment Login

Leave a Reply

To Top