HTML Tables
Burudani

PICHA:MASTAA WALIVYOTOKEA UZINDUZI WA FILAMU YA ‘KING ARTHUR: LEGEND OF SWORD

Jumatano hii ilifanyika sherehe ya premiere ya filamu ya King Arthur: Legend of the Sword katika ukumbi wa Leicester Square mjini London, Uingereza. Filamu hiyo imewakutanisha mastaa kadhaa nadni yake wakiwemo mchezaji soka David Beckham, Charlie Hunnam, Jude Law, Poppy Delevingne na wengine.

Sherehe hiyo ilihudhuriwa na watu maarufu kibao akiwemo Beckham na mwanae Brooklyn, muongozaji wa

filamu Uingereza, Guy Ritchie mwanamitindo Jacqui Ainsley na wengine. Filamu hiyo inatarajiwa kutoka rasmi Mei 19 mwaka huu.

Hizi ni baadhi ya picha za red carpet katika sherehe hiyo.

Click to comment

You must be logged in to post a comment Login

Leave a Reply

To Top