HTML Tables
Burudani

MSICHANA AKUTWA GESTI AKIWA AMEFARIKI

Na Thomas Samson

Mwanadada aliyefahamika kwa jina la Sophie william amefariki dunia wiki iliyopita akiwa katika nyumba ya wageni “Gesti” na mchumba wake.

Marehemu huyo aliyekuwa akifanya kazi katika shirika la ndege la Fly Emirates alipoteza maisha katika gesti ya Twigga iliyopo maeneo ya keko jijiji Daresalam.

Bado chanzo cha kifo cha Sophia hakijawa wazi upelelezi wa kesi hiyo tayari upo mikononi mwa vuombo vya dola.

1 Comment

1 Comment

  1. Mbwana Rwambo

    Mbwana Rwambo

    May 9, 2017 at 1:09 pm

    Innalilah wahinnalilah rajiuun

You must be logged in to post a comment Login

Leave a Reply

To Top