HTML Tables
Michezo

MCHEZO HUU WA SIMBA SC WASOGEZWA MBELE

Mechi ya Ligi Kuu Bara kati ya Simba SC dhidi ya Njombe Mji imesogezwa mbele ili kuipa nafasi Simba ya kufanya maandalizi ya mchezo wa kimataifa dhidi ya Al Masry.

Awali ratiba ya ligi ilionesha Simba walipaswa kukipiga na Njombe Mji, baada ya kucheza na Mtibwa Sugar Jumapili ya wiki hii kwenye uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro.

Kwa mujibu wa Bodi ya Ligi, sasa mechi hiyo sasa itapangiwa tena tarehe nyingine ili kuipa nafasi Simba ya kujiandaa na mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika, itakayopigwa Misri Machi 17 2018.

Katika mchezo wa marudiano, Simba watapaswa kushinda bao 1-0 au zaidi ya moja ili iweze kusonga mbele kwenye mashindano haya.

Na katika msimamo wa ligi, bado Simba ipo kileleni ikiwa imecheza michezo 2

Click to comment

You must be logged in to post a comment Login

Leave a Reply

To Top