HTML Tables
Habari

MBUNGE WA CCM AJILIPUA AKABIDHI HOJA BINAFSI KUHUSU MATUKIO YA MAUAJI NA UTEKAJI NCHINI

Mbunge wa Nzega (CCM), Hussein Bashe ameshindwa kuvumilia matukio mbalimbali yanayojitokeza katika ardhi ya Tanzania na mwisho ameamua kuandika barua yenye hoja binafsi kwa Katibu wa Bunge ili kuundwe kamati ya teule ya uchunguzi.
“Leo asubuhi (jana) nimewasilisha kwa Katibu wa Bunge barua ya kusudio la kuwasilisha hoja binafsi ya kuunda Kamati teule ya Bunge kuchunguza matukio mbalimbali yanayoonesha kutishia umoja, usalama na mshikamano wa Taifa letu”, amesema Bashe.

 

Click to comment

You must be logged in to post a comment Login

Leave a Reply

To Top