HTML Tables
Michezo

MAYANGA AITA KIKOSI CHA TAIFA STARS

Kocha wa Taifa Stars, Salum Mayanga, ametaja majina 23 ya wachezaji walioitwa kujiunga na kikosi hicho kwa ajili ya kujiwinda na michezo ya kirafiki dhidi ya Algeria na Jamhuru ya Kidemokrasia ya Congo.

Stars itacheza michezo hiyo ya kirafiki ambayo ni kwa mujibu wa kalenda ya FIFA, ambapo Machi 22 watakuwa ugenini kucheza dhidi ya Algeria na Machi 27 watakuwa na kibarua dhidi ya Congo hapa nchini.

Click to comment

You must be logged in to post a comment Login

Leave a Reply

To Top