HTML Tables
Michezo

MATIBABU YA KAMUSOKO YAMEFIKA HAPA

Kiungo wa Yanga, Thabani Kamusoko ameendelea kupatiwa matibabu ya goti kuhakikisha anarejea katika hali yake.
Sasa matibabu ni yale ya kiwango cha juu kuhakikisha Kamusoko anakuwa katika kiwango kizuri cha kuanza mazoezi
Kazi ya kumchukua vipimo ili kumaliza tatizo la ligament kwenye goti lake imefanyika katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es Salaam.

Kiungo huyo Mzimbabwe amefanyiwa matibabu ya kiwango cha juu akichukuliwa vipimo vya juu kabisa kuhakikisha anakuwa vizuri.
Kamusoko amekuwa benchi kwa zaidi ya miezi miwili sasa akiendelea kusota kutokana na kuwa majeruhi

Click to comment

You must be logged in to post a comment Login

Leave a Reply

To Top