HTML Tables
Michezo

MASHABIKI ARSENAL BADO WAMTAKA WENGER AONDOKE

Kumekuwa na kampeni zinazoendelea bila kuchoka zinazofanywa na mashabiki hao wakitumia kauli mbiu ya ‘Wenger Out’.
 
Wamekuwa wakiweka mabango katika sehemu mbalimbali yakiwemo yale ya taa yanayowaka usiku.
 
 
Baadhi wameweka mabango hayo kwenye Uwanja wa zamani wa Arsenal wa Highbury pia uwanja wa sasa wa Emirates wakisisitiza kuondoka kwa Wenger.
 

 

Kama hiyo haitoshi, mashabiki hao wameanza kuweka kauli mbiu yao mitandaoni wakitumia picha hizo kusisitiza Wenger awaachie timu yao
Click to comment

You must be logged in to post a comment Login

Leave a Reply

To Top