HTML Tables
Habari

MAELFU YA WATUMISHI WA UMMA WAJIKUTA KWENYE KIBANO, WENGINE WASHANGILIA

‘MCHANGANYIKO’  KWA WATUMISHI

 

“Watumishi wapatao 193,161 watapandishwa madaraja, Fedha zipo na nina matumaini makubwa kwa Waziri Mkuchika ninayemkabidhi ofisi atatekeleza hilo kwa asilimia zote,” (Waziri wa zamani wa Utumishi Angellah Kairuki Oktoba 11 2017)

 

”Kuna wafanyakazi zaidi ya 40,000 serikalini ambao wamedanganya umri, utaratibu wa kuwaondoa unakuja”

 

“Utakuta mtu ametaja umri tofauti Nida, huku Utumishi umri ni tofauti, Sasa sijui huyo mtu ana birthday (siku za kuliwa) mbili, Hao watu wanafikia zaidi ya 40,000 tukimkuta mtumishi ameshafika umri wa kustaafu tutamuondoa”

(Dk. Laurean Ndumbaro  Katibu mkuu Utumishi Oktoba 11 2017)

 

”Wapo watu 40,000 waliodanya umri wa kuzaliwa, hao lazima tuwaondoe, uhakiki ukikamilika ndiyo tutaboresha maslahi ya Watumishi”

(Kepteni George Mkuchika Waziri mpya Utumishi Oktoba 11 2017)a, huku Utumishi umri ni tofauti, Sasa sijui huyo mtu ana birthday (siku za kuliwa) mbili, Hao watu wanafikia zaidi ya 40,000 tukimkuta mtumishi ameshafika umri wa kustaafu tutamuondoa”

(Dk. Laurean Ndumbaro  Katibu mkuu Utumishi Oktoba 11 2017)

 

”Wapo watu 40,000 waliodanganya umri wa kuzaliwa, hao lazima tuwaondoe, uhakiki ukikamilika ndiyo tutaboresha maslahi ya Watumishi”

(Kepteni George Mkuchika Waziri mpya Utumishi Oktoba 11 2017)

Click to comment

You must be logged in to post a comment Login

Leave a Reply

To Top