HTML Tables
Siasa

KARIUKI: RIPOTI YA VYETI FEKI HAUSIANI NA WATEULE WA RAIS

 Akikabidhi taarifa hiyo kwa Rais Magufuli, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais- Utumishi na Utawala Bora, Angellah Jasmine Mbelwa Kairuki, Rais amesema kuwa, Wizara yake iliagiza NECTA kuhakiki vyeti vya kidato cha nne, cha sita na vya uwalimu.“Jumla ya watumishi wa umma 435,000 wamefanyiwa uhakiki wa vyeti vyao vya taaluma, Watumishi 9932 kati ya watumishi waliohakikiwa walikutwa na vyeti vya kughushi, Vyeti vyenye utata. Vyeti 1538 vilikuwa vikitumiwa na jumla ya watu 3076”

Uhakiki huu haujafanyika kwa viongozi wa kisiasa kwa sababu wao wanahitajika kujua kusoma na kuandika tu.“Pia Wakuu wa Mikoa na Wilaya, Wabunge na Madiwani hawajahakikiwa vyeti vyao vya taaluma kwa kuwa mamlaka ya uteuzi ndiyo wanajua ufanisi wa kazi zao.

Click to comment

You must be logged in to post a comment Login

Leave a Reply

To Top