HTML Tables
Michezo

HUYU NDIYE MFARANSA ANAYEKUJA KUINOA SIMBA SC

Kocha wa zamani wa klabu ya TP Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) na Etoile du Sahel ya Tunisia, Mfaransa, Hubert Velud amewasili mjini Dar es Salaam leo kukamilisha mipango ya kujiunga na klabu ya Simba.
Habari kutoka ndani ya Simba zimesema kwamba, Velud mwenye umri wa miaka 58 analetwa na mmiliki mtarajiwa wa klabu hiyo, Mohamed ‘Mo’ Dewji.

Velud pia alikuwa kocha wa timu ya taifa ya Togo na alipigwa risasi mkononi wakati basi la wachezaji liliposhambuiliwa na waasi Angola wakati wanakwenda kwenye fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika mwaka 2010.

 

Ana uzoefu wa kufundisha timu nyingi kama Chalons-sur-Marne, Gap, Paris FC, Gazelec Ajaccio, Clermont, Cherbourg, Creteil, Toulon na Beauvais.
Ameshinda katika Ligue 1 ya Algeria mwaka 2013 akiwa ES Setif, 2014 akiwa na USM Alger na Super Cup ya Algeria mwaka 2013 akiwa na USM Alger.

 

Anakuja Simba kuchukua nafasi ya Mcameroon, Joseph Marius Omog aliyefukuzwa Desemba baada ya msimu mzuri akiiwezesha timu hiyo kurudi kwenye michuano ya Afrika baada ya miaka minne.
Velud aliyezaliwa Juni 8, mwaka 1959 mjini Villefranche-sur-Saône, Ufaransa enzi zake alikuwa kipa mzuri na alidakia timu za Reims kati ya 1976 na 1989 na Chalons-sur-Marne kati ya 1989 na 1990 kabla ya kuwa kocha.

28 Comments

28 Comments

 1. Mussa Moshi Kantalungwa

  Mussa Moshi Kantalungwa

  January 15, 2018 at 11:49 am

  Hata aja.muispen atafurumushwa tuuuu

 2. Zuhura Msuya

  Zuhura Msuya

  January 15, 2018 at 11:55 am

  Macho situnayo kikubwa tuombe uhai

 3. Kulangwa Nyakutonya

  Kulangwa Nyakutonya

  January 15, 2018 at 11:58 am

  aje tu simba no koko

 4. Allan Ibwe

  Allan Ibwe

  January 15, 2018 at 1:01 pm

  Atafukuzwa tu

 5. Moses Mgata

  Moses Mgata

  January 15, 2018 at 2:50 pm

  kwa wa Tanzania hata aje cocha kutoka mbinguni kaz bure. mijitu haieleweki km mijanamichezo au laa. sijui tumerogwa na nan, ndio maana huwa na waambia watu kuna baadhi ya watu wanaweza kufa endapo timu za Simba na Yanga zitakufa. hata hawa makocha wa kugeni wanaokuja TZ kufundisha ninjaa zinawasumbua kocha anaejitambua hawezi kuja kufanya kaz ya soka hapa nchini.

 6. Francis Mkilima

  Francis Mkilima

  January 15, 2018 at 2:50 pm

  Mdogo wa Wenger atatimliwa baada kupokea kipigo toka Yanga ( kampa kampa tena “wa visigino” )

 7. Masu Magege

  Masu Magege

  January 15, 2018 at 3:02 pm

  Ukitoa huo weupe cha zaidi kumpita omog nini? Au trump!

 8. Brown Kiswaga

  Brown Kiswaga

  January 15, 2018 at 3:03 pm

  Hapo linabadilishwa bucha tuu,nyama ni ileile

 9. Elias Erasto Mwakasege

  Elias Erasto Mwakasege

  January 15, 2018 at 3:22 pm

  Hata aje malaika mpira wa bongo ni kupoteza mda

 10. Salim Mpeta

  Salim Mpeta

  January 15, 2018 at 3:28 pm

  Kwa wachezaji gani

 11. George Kingu

  George Kingu

  January 15, 2018 at 4:38 pm

  Watasngaika sana wa mchukue wa azam

 12. Sudi Abdallah

  Sudi Abdallah

  January 15, 2018 at 5:26 pm

  Bienvenue

 13. Sospeter Sango

  Sospeter Sango

  January 15, 2018 at 5:37 pm

  SIMBA MMESHAANZA USHUZI WENU TENA NYIE HATA ANGEKUJA MORINYO HAMNA LOLOTE

 14. Badru Seif

  Badru Seif

  January 15, 2018 at 7:36 pm

  Mdogo wake wenger uyo

 15. Kilango Mgonja

  Kilango Mgonja

  January 15, 2018 at 8:10 pm

  ata aje gadiola ubingwa sahaaun

 16. Christoper Kileo

  Christoper Kileo

  January 15, 2018 at 9:16 pm

  MI NI FOOL SIMBA.ILA SWALA LA KUTIMUA MAKOCHA SILIPENDI TENA NALAAN.OMOG AKIKUA NA SHIDA GANI.VIONGOZ WA SIMBA ACHENI UMANGULO.NJAA ZITAWAUA.

 17. Gody Mluguru

  Gody Mluguru

  January 16, 2018 at 12:59 am

  Apo mnajisumbua chukua Julio msaidizi wake chukua matora wamakipa mwameja aondio wenye mpira wao apo simba Ila mtazamo TU mtan

 18. Shabani Ally

  Shabani Ally

  January 16, 2018 at 9:02 am

  Ha zam yakina mzee wenga kuinoa simba hahaha nachoka sana

 19. Isaya Mghamba

  Isaya Mghamba

  January 16, 2018 at 9:14 am

  Karibu sana msimbazi

 20. Fred Samson

  Fred Samson

  January 16, 2018 at 10:20 am

  Mo akasajili asenal maana tumeona Sanchez hana pakwenda

 21. Deus Mabula

  Deus Mabula

  January 16, 2018 at 10:44 am

  Wasiajili rangi bali waajili mtu wa kz

 22. Mfaume Mbwana

  Mfaume Mbwana

  January 16, 2018 at 11:25 am

  Ata aki ja zban e kezipalepale

 23. Kambala Henry

  Kambala Henry

  January 16, 2018 at 12:38 pm

  Akja mzungu wachezaj watamuogopa na hataangalia majina,,, ndio vzr aje kocha ambaye hajui huyu nan yule nan itkua nzur

 24. Kisra Mambo

  Kisra Mambo

  January 16, 2018 at 12:55 pm

  Na aje matokeo ya asenar hayo sio wenga uyo?

You must be logged in to post a comment Login

Leave a Reply

To Top