HTML Tables
Michezo

HIKI NDIO KIKOSI CHA SIMBA SC KITAKACHOSAFIRI LEO KWENDA MISRI

Kikosi cha Simba kinataraji kusafiri jioni ya leo kuelekea Misri, kwa ajili ya mchezo wa marudiano dhidi ya Al Masry SC katika mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika.
Wafuatao ndiyo watakuwa kwenye msafara huo
1. Said Mohamed Nduda
2. Aishi Manula
3. Shomari Kapombe
4-Mohamed Hussein
5. Asante Kwasi
6. Juuko Murushid
7. Yussuf Mlipili
8. Erasto Nyoni
9. Paul Bukaba
10. Jonas Mkude
11. James Kotei
12. Said Ndemla
13. Muzamiru Yassin
14-Mwinyi Kazimoto
15. Shiza Kichuya
16. John Bocco
17. Emmanuel Okwi
18. Nicholaus Gyan
19. Laudit Mavugo
20. Juma Luizio

Kocha Mkuu – Pierre Lechantre
Kocha Msaidizi – Masoud Djuma
Kocha wa Viungo – Mohammed Aymen
kocha wa Makipa – Muharami Mohammed
Docta wa Timu – Yassin Gembe
Meneja wa Timu – Richard Robert
Mtunza Vifaa – Yassin Mtambo

Click to comment

You must be logged in to post a comment Login

Leave a Reply

To Top