Wakati Simba inajiandaa kuendeleza ubabe wake katika Ligi Kuu Bara, wapinzani wao, Mbao FC wanawaza mengine kabisa. Simba ndiyo vinara wa ligi...
Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Dk Harrison Mwakyembe ameeleza moja ya makubaliano waliyoyafikia na Rais wa Fifa, Gianni Infantino ni...
Wakati leo inamenyana na Yanga SC katika mchezo wa hatua ya 16 Bora michuano ya Azam Sports Federation Cup (ASFC), uongozi wa...
KIKOSI cha Yanga SC kinatarajiwa kuondoka kesho asubuhi mjini Dar es Salaam kwenda mjini Victoria kwa ajili ya mchezo wa marudiano hatua...
Nahodha wa Azam FC, Himid Mao ‘Ninja’, leo anatarajiwa kuondoka Dar es Salaam kwenda mjini Cape Town, Afrika Kusini kwa ajili ya...
TIMU ya Mwadui FC leo inawakaribisha Simba SC katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara Uwanja wa CCM Kambarage mkoani...
WINGA wa kimataifa wa Tanzania, Simon Happygod Msuva jana ameendeleza moto wa mabao baada ya kuifungia timu yake, Difaa Hassan El Jadida...
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Joseph Magufuli atakutana na Rais wa Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA),...
Mshambuliaji Emmanuel Okwi alipigwa kwenye koo baada ya kupigwa ngumi. Hali hiyo ilisababisha ashindwe kupumua na kulazimisha mwalimu wake Kocha Pierre Lechantre...
Hatimaye mkoa wa Mara utakuwa na timu tena katika Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara baada ya miaka 15 kufuatia Biashara United...
KIKOSI cha Yanga kinaondoka leo mjini Mbeya kwenda Iringa tayari kwa mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara dhidi ya wenyeji,...
Usiku wa jana dirisha dogo la usajili la mwezi January limekamilika, vilabu vimefanya usajili mbali mbali na usajili mkubwa katika ligi ya...
Haya ni baadhi ya mambo ambayo huenda huyajui kuhusu Pierre-Emerick Aubameyang, katika maisha mtoto hufuata matarajio ya wazazi na wazazi husaidia kwa...
KIPA Mcameroon, Youthe Rostand leo ameibuka shujaa wa Yanga baada ya kupangua penalti tatu na kuiwezesha kuingia hatua ya 16 Bora ya...
Mechi za Hatua ya 32 Bora Kombe la Azam Sports Federation Cup (ASFC) zinatarajiwa kuanza leo kwa vigogo, Azam na Yanga kujitupa...
Kufuatia kukamilishwa kwa mechi za duru la kwanza la Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, kalenda ya soka ya Tanzania sasa inahamia...
Raundi ya kwanza ya Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara inahitimishwa leo kwa michezo miwili, vinara Simba SC wakiwakaribisha Maji Maji ya...
MZUNGUKO wa 15 wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara unatarajiwa kuendelea leo kwa mechi nne, lakini kubwa zaidi ni kati ya...
Thierry Henry kwa sasa amepachikwa majina mengi ya kejeli na mashabiki wa Arsenal kutokana na madai ya kumshawishi Alexis Sanchez kujiunga na...
Shirikisho la Soka Afrika (CAF) itafanya ukaguzi wa mfumo wa leseni kwa klabu (Club Licensing) kwenye upande wa miundo mbinu. CAF watafanya...
Kocha Mkuu wa Azam FC, Aristica Cioaba amesema mchezo ujao wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara dhidi ya Yanga utakuwa mgumu...
SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) limefanya ukaguzi wa viwanja vinavyotumika kwa kombe la Shirikisho na kuzuia viwanja vitatu kutumika kwa mechi zinazofuata...
Msimu uliopita Azam FC, ilifanya maajabu kwa kujiandikia historia baada ya kupata pointi tatu kwa mara ya kwanza dhidi ya Tanzania Prisons...
Kocha Mkuu wa Singida United, Mholanzi, Hans van der Pluijm, amesema kuwa licha ya kupoteza mchezo wa jana dhidi ya Simba, lakani...
KOCHA Msaidizi wa Simba, Mrundi Masoud Juma amesema kwamba,kutokana na ushindi mnono walioupata dhidi ya Singida United, alitaka kuwadhihirishia wale waliokuwa wanamkashifu...
Nyota Mnigeria, Kelechi Iheanacho (kulia) akishangilia baada ya kuifungia mabao yote mawili Leicester City dakika za 43 na 77 ikishinda 2-0 dhidi ya Fleetwood...
KLABU ya Yanga leo hii imeingia mkataba wa miaka mitatu na kampuni ya Macron wenye thamani ya Sh. Bilioni 2 kwa ajili...
SEKRETARIETI ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), imemshitaki Msaidizi wa klabu ya Simba SC, Suleiman Kahumbu kwa tuhuma za kughushi na udanganyifu....
Liverpool wapo tayari kupambana na Manchester City na Manchester United katika kutaka kumsajili mshambuliaji wa Arsenal Alexis Sanchez, 29. (Sunday Mirror) Pamoja...
MAONI YA WASOMAJI