HTML Tables
Burudani

COYO MC AFUNGUKA MENGI KUHUSU MUZIKI

Msanii wa kizazi kipya wa muziki wa hiphop nchini maarufu kama COYO MC amerudi na anatamba kwa kibao chake kipya chenye jina la “ITAKUKOSTI”.

 

Amewashukuru Yetu Media/Yetu Radio na mashabiki wake kupitia Yetu Radio inayoongoza katika Radio zinazofanyà vema sana kwa sasa ndani ya Tanzania na Nje kwa sapoti ambayo wamempa baada ya kuachia ngoma yake hiyo pia akaongeza kuwa wazo la kuandika wimbo huo wa “ITAKUKOSTI” ni maisha yake ya kila siku anayokutana nayo.

 

“Kama kujuana isiwe tabu, kiki na izo chura za kubusti,  mambo ya umbea umbea kushinda saloon ITAKUKOSTI” ni moja ya mstari wa nyimbo yake mpya inayobambaa.

 

Msanii COYO MC aliendelea kufunguka wakati anafanya maojiano kwenye kipindi cha TAMPLE BEAT cha Yetu Radio ya Yetu Media nakusema kuwa mziki wake umepiga hatua sana kwani ametoka mbali toka kwenye wimbo wake wa “NOMA” Na anawahaidi washabiki wake wa mziki waendelee kutegemea ngoma nyingi,  nyingine mpya na kuomba waendelee kumsapoti kwenye kazi zake.

 

 

3 Comments

3 Comments

  1. Pingback: Ivon Gregory

  2. Pingback: creditmattersinc.org

  3. Pingback: Gigi Bergener

You must be logged in to post a comment Login

Leave a Reply

To Top