HTML Tables
Burudani

CAMPBELL BADO ANAFIKILIA KUPATA MTOTO

Naomi Campell amefunguka na kuweka wazi kuwa anahitaji kuwa mama lakini shida imekuwa ni mwanaume wa kulea nae mtoto.

Modo huyo wa muda mrefu duniani ameshatimiza miaka 46 bila ya mtoto na anahisi wasaa wa kuwa mama umefika.

“nafikiria kupata mtoto na kwa teknolojia iliopo kipindi hiki sidhani kama itashindikana” alitamka Naomi.

Awali staa hyo alitaka mtoto wa kufikia lakini siku za karibuni amekuwa akitamani mtoto wa kumzaa mwenyewe

Click to comment

You must be logged in to post a comment Login

Leave a Reply

To Top