HTML Tables
Michezo

BREAKING NEWS: RASMI WAMBURA AFUNGIWA MAISHA KUJIHUSISHA NA SOKA

Kamati ya Maadili ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), imemfungia maisha kutojihusisha na shughuli za Soka Makamu wa Rais wa TFF, Michael Wambura.

Wambuwa amefungiwa kutokana na kupokea fedha zisizo halali kiasi cha Shilingi milioni 84, kugushi nyaraka za malipo, na kula njama kulipwa fedha na waliokua viongozi wa TFF Jamal Malinzi na Selestin Mwesigwa.

Click to comment

You must be logged in to post a comment Login

Leave a Reply

To Top