HTML Tables
Habari

BREAKING NEWS: ABDUL NONDO AFIKISHWA MAHAKAMANI

Mwenyekiti wa Mtandao wa wanafunzi TSNP, Abdul Nondo amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya  Iringa kusomewa mashtaka yanayomkabili. Mwanasheria wa TSNP amethibitisha taarifa hiyo.

Click to comment

You must be logged in to post a comment Login

Leave a Reply

To Top