HTML Tables
Habari

BAADA YA KUPOKEA TAARIFA YA MAJADILIANO YA MAKINIKIA RAIS MAGUFUFI ALISEMA HAYA….

YALIYOSEMWA WAKATI RAIS MAGUFULI ANAPOKEA TAARIFA YA TIMU ILIYOKUWA IKIJADILIANA KUHUSU SUALA LA MCHANGA WA MADINI YA DHAHABU, MAKANIKIA

 

“Naomba Barrick Gold walipe hizo Shilingi Bilioni 700 haraka kwa sababu ninataka kuzitumia” ~ Rais Magufuli

 

“Kamati iendelee kufanya mazungumzo kwenye Almasi na Tanzanite, kazi hii ianze haraka na mapema” ~ Rais Magufuli

 

“Pia wamekubali kulipa kile kinachostahili kwenye Halmashauri” ~ Rais Magufu

 

“Makubaliano haya yametengeneza wigo mwingine wa ajira kwa Watanzania, vijana wamekuwa wakipata shida ya ajira” – Rais Magufuli

 

“Kwa mara ya kwanza tangu dunia iundwe tumekubaliana kugawana asilimia 50 kwa 50 ya faida” ~ Rais Magufuli

 

KUTOKA IKULU: Waziri, Prof Palamagamba Kabudi amesema Barrick wamekubali kujenga maabara na kiwanda cha kuchakata makanikia hapa nchini.

 

KUTOKA IKULU: Waziri, Prof Palamagamba Kabudi amesema Kampuni ya Barrick, wamekubali masharti yote yaliyoko kwenye sheria mpya ya madini.

 

KUTOKA IKULU: Serikali na Kampuni ya Barrick Gold, wamekubaliana kuwa wataingia ubia wa asilimia 50 kwa 50 kwenye biashara ya madini.

 

KUTOKA IKULU: Kampuni ya Barrick Gold imesema leo kuwa, italipa Dola za Marekani milioni 300 (Sh700bn) kwa ajili ya kuonyesha uaminifu.

 

“Nampongeza Rais Magufuli kwa uamuzi wa kutaka muafaka juu ya makanikia” ~Mwenyekiti Mtendaji wa Kampuni ya Barrick Gold Prof. John Thornton

 

“Tumekubaliana kulipa USD Mil. 300 kama sehemu ya kujenga uaminifu na kuendeleza biashara”-Mwenyekiti Mtendaji wa Barrick Prof.John Thornton

 

“Kwa mara ya kwanza tangu dunia iundwe tumekubaliana kugawana 50/50 ya faida”-Rais MagufuliJP

 

” Naipongeza kamati hii kwa kazi kubwa waliyoifanya kufikia makubaliano haya”-Rais MagufuliJP

 

“Pia wamekubali kulipa kile kinachostahili kwenye Halmashauri”-Rais MagufuliJP

 

“Kamati iendelee kufanya mazungumzo kwenye Almasi na Tanzanite,kazi hiii anze haraka na mapema”-Rais MagufuliJP

 

“Naomba Barrick walipe hizo Tzs. Bil. 700 haraka kwasababu ninataka kuzitumia”-Rais MagufuliJP

 

“Serikali ya Tanzania sasa tutaanza kufanya kazi moja kwa moja na Barrick”-Rais MagufuliJP

 

“Serikali hii ipo badala ya wananchi maskini,lazima watanzania tusimame pamoja”-Rais MagufuliJP

1 Comment

1 Comment

  1. Nixon Jasson

    Nixon Jasson

    October 19, 2017 at 5:20 pm

    Nadhani ni wakati muafaka sasa kwa wakubwa wetu kuwalipa wale WADENI kule NJE ili kujenga taswira njema ya nchi yetu. Maana kiasi hiki cha takriban sh 660bn sio haba hata kidogo. Naiona ndege yetu ‘ikiwasili’ hapa nchini hivi karibuni.

You must be logged in to post a comment Login

Leave a Reply

To Top