HTML Tables
Burudani

MJUE IVAN SEMWANGA.

    Picha ya Ivan Semwanga.

Mfanya biashara mashuhuri nchini Uganda na Afrika na aliyekuwa mumewe Zari the bosslady mke wa diamond platinum (Nasib Abdul) Ivan Semwanga amefariki dunia leo asubuhi tarehe 25 mzy 2017 katika hospitali ya Petrolia amabako alikuwa akipata matibabu baada ya kupata mshtuko wa moyo.

Ivan alilazwa katika hospitali hiyo iliyopo Petrolia South Afrika mapema mwezi huu akitokea Uganda kwajili ya matibabu zaidi.

Ivan  amefariki dunia  akiwa na miaka 40 huku akiacha utajiri mkubwa wa biashara alizokuwa akifanya Afrika Kusini na Uganda.

Ivan alipenda sana tafrija,sherehe, na kusaidia wasiojiweza lakini pia mtu aliependa sana kufurahi na marafiki.

Click to comment

You must be logged in to post a comment Login

Leave a Reply

To Top